Bonus (LIVE) Zarina Speech

Zarina Patel mwenyewe ana ujumbe maalum wa kukuambia

Katika kipindi hiki maalum kabisa cha KaBrazen kutoka kwa hafla ya KaBrazen Live Experience iliyofanyika siku ya Mashujaa, tunapata fursa ya kumsikiliza Zarina Patel mwenyewe! Kama vile watoto waliohudhuria hafla hiyo watakavyokumbuka, Zarina alituambia kuwa watu wadogo wanaweza kuleta mabadiliko makubwa…na alitukumbusha kutowahi kukata tamaa! 

Bora kwa watoto wenye umri wa miaka 4 hadi tisa na wote wanaopenda hadithi.

Kipindi hiki ni cha dakika 9 na sekunde 49.

Tueleze mafikira yako ukitumia #KaBrazen

SIFA:

Asante kwa Zarina Patel na Zahid Rajan

Muigizaji wa Sauti - Afrikan Njogu

Mchoraji - Chela Yego

Mzalishaji msaidizi - Mweru Gitau

Mzalishaji wa Sauti- Wambui Waciuri for Za Kikwetu Productions

Wimbo wa mada- Timothy Arinaitwe & Mbogua Mbugua & Laura Ekumbo

Nembo - Francis Ally Mlacha

Mkurugenzi wa Sauti- Laura Ekumbo

Mwandishi Mkuu- Aleya Kassam

Mkurugenzi wa Ubunifu- Anne Moraa

KaBrazen Consortium - Sifa Kamili: Nthanze Musyoka • Jane Mumbanu • John Muya • Laura Ekumbo • Aleya Kassam • Anne Moraa • Wilma Mosoti • Chela Yego • Afrikan Njogu • Monity Odero • Wambui Waciuri • Packson Ngugi • Melissa Mbugua • Josephine Kiarani • Allan Wasega • Mweru Gitau • Marcus Olang • Narmin Kassam • Molly (YRD) • Beliya Ndhlovu Bukuru (YRD) • Benjamin Mboya • Janet Haluwa • Zosi Kadzitu • Miriam Kadzitu • Jake/John Njoka • Kevin Kaesa

Asante kwa Too Early For Bids: Timu ya Brazen, Watoto waliohudhuria hafla ya KaBrazen Live, Marilyn Kamuru na Aga Khan University.


Kusanyiko hili la pili la hadithi za sauti za KaBrazen inapigwa jeki na ruzuku ya Ignite Culture chini ya mradi ACP-EU Culture (Afrika Mashariki) Hazina hii inatekelezwa na HEVA kwa ushirikiano na baraza la Uingereza nchini pamoja na mchango wa kifedha kutoka kwa muungano wa Uingereza ,na vile vile msaada zaidi kutoka kwa muungano wa ACP , hizi ni (Nchi za Afrika, Karibea, na Pasifiki) Ni sehemu ya mradi wa kimataifa wa ACP-EU Culture.


Previous
Previous

Bessie Head

Next
Next

Bonus (LIVE) Zarina