Kutana na msichana aliyeuliza “kwa nini?”.
Kutana na msichana mkimya aliyewaokoa watu wake.
Kutana na dada wawili waliojenga chuo kikuu cha kwanza duniani.
Kutana na msichana ambaye angeweza kufungua fundo lolote.
Kutana na Binti mfalme shujaa aliyependa kudansi.