KISWAHILI

COLLECTION TWO LAM Sisterhood COLLECTION TWO LAM Sisterhood

Bi Kidude

Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua kuhusu msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba. Bi Kidude aliimba kwa zaidi ya karne moja huko Zanzibar na kote kote duniani, na anatukumbusha kusikiliza kile kinachotufurahisha, kwani nyoyo zetu zinajua cha kufanya.

*Tahadhari: Miongoni mwa mada zilizopo ni ndoa za utotoni na dhuluma ya kimwili dhidi ya mtoto.

Bora kwa watoto wa umri wa miaka 4 hadi 9 na wote wanaopenda hadithi.

Kipindi cha Kiswahili ni cha dakika 23 na sekunde 44 na kipindi cha Kiingereza ni cha dakika 23 na sekunde 48.

Tueleze mafikira yako ukitumia #KaBrazen

Read More