Bi Kidude

Msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba

 

Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua kuhusu msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba. Bi Kidude aliimba kwa zaidi ya karne moja huko Zanzibar na kote kote duniani, na anatukumbusha kusikiliza kile kinachotufurahisha, kwani nyoyo zetu zinajua cha kufanya. 

Tafadhali zingatia kwa makini: Miongoni mwa mada zilizopo ni ndoa za utotoni na dhuluma ya kimwili dhidi ya mtoto. 

Bora kwa watoto wa umri wa miaka 4 hadi 9 na wote wanaopenda hadithi.

Kipindi cha Kiswahili ni cha dakika 23 na sekunde 44 na kipindi cha Kiingereza ni cha dakika 23 na sekunde 48.

Tueleze mafikira yako ukitumia #KaBrazen

SIFA:

Waandishi - Laura Ekumbo, Aleya Kassam, Anne Moraa

Watafiti - Laura Ekumbo, Aleya Kassam, Anne Moraa

Muigizaji wa sauti na Mtafsiri - Afrikan Njogu (Tata Nduta)

Mchoraji  - Chela Yego

Msaidizi wa uzalishaji - Mweru Gitau

Mzalishaji wa sauti - Wambui Waciuri wa Za Kikwetu Productions

Wimbo wa mada - Timothy Arinaitwe & Mbogua Mbugua & Laura Ekumbo

Nembo - Francis Ally Mlacha

Mkurugenzi wa sauti - Laura Ekumbo

Mwandishi mkuu - Aleya Kassam

Mkurugenzi wa ubunifu- Anne Moraa

KaBrazen Consortium - Sifa kamili kwa Nthanze Musyoka • Jane Mumbanu • John Muya • Laura Ekumbo • Aleya Kassam • Anne Moraa • Wilma Mosoti • Chela Yego • Afrikan Njogu • Monity Odero • Wambui Waciuri • Packson Ngugi • Melissa Mbugua • Josephine Kiarani • Allan Wasega • Mweru Gitau • Marcus Olang • Narmin Kassam • Molly (YRD) • Beliya Ndhlovu Bukuru (YRD) • Benjamin Mboya • Janet Haluwa • Zosi Kadzitu • Miriam Kadzitu • Jake/John Njoka • Kevin Kaesa

Asante kwa Marilyn Kamuru na Aga Khan University.

Kusanyiko hili la pili la hadithi za sauti za KaBrazen inapigwa jeki na ruzuku ya Ignite Culture chini ya mradi ACP-EU Culture (Afrika Mashariki) Hazina hii inatekelezwa na HEVA kwa ushirikiano na baraza la Uingereza nchini pamoja na mchango wa kifedha kutoka kwa muungano wa Uingereza ,na vile vile msaada zaidi kutoka kwa muungano wa ACP , hizi ni (Nchi za Afrika, Karibea, na Pasifiki) Ni sehemu ya mradi wa kimataifa wa ACP-EU Culture.

Previous
Previous

Ketty Nivyabandi

Next
Next

Zarina Patel